Uongozi wetu
Viongozi Wetu

Meet the
Management

Watu mahiri walio nyuma ya maono na utekelezaji wa malengo ya Nyanyuka Afrika Foundation.

Timu ya Nyanyuka
Utekelezaji wa Maono

Ushirikiano na
Uadilifu

Tunasimamia miradi yetu kwa weledi mkubwa ili kuleta tija ya kudumu kwa jamii ya Kitanzania.

UONGOZI MKUU

Executive Leadership

Bi Kulwa Stephen Masulubu

Bi Kulwa Stephen Masulubu

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi

.

Dotto Stephen Masulubu

Mr. Dotto Stephen Masulubu

Mwanzilishi/ Mkurugenzi Mkuu

.

Sarah Marco Nyadu

Bi. Sarah Marco Nyadu

Katibu Mkuu

.

Wakurugenzi Wakuu wa Idara

Directorate

Charles D. Laiser

Mr. Charles D. Laiser

Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Utawala

.

Albert Manyilizu Sengerema

Mr. Albert M. Sengerema

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii na Miradi

.

Stephen Ishungisa

Mr. Stephen Ishungisa

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma

.

Wakuu wa Vitengo Maalum

Vitengo Maalum

Gidai Kibiriti

Bw. Gidai Kibiriti

Meneja Mkuu - Kitengo cha TEHAMA & Habari

Godfrey Kiluga

Bw. Godfrey Kilugara

Meneja Mkuu - Kitengo cha Elimu, Mafunzo & Wataalamu

Wakili Atanas Laurian Juma

Wakili Atanas Laurian Juma

Mwanasheria Mkuu & Meneja Mkuu - Kitengo cha Sheria na Haki za Binadamu

Usimamizi wa Kimaeneo

Uongozi wa Kanda

Kanda ya Kati
Tausi Jumanne

Bi. Tausi Jumanne

Meneja Mkuu (Dodoma)

Kanda ya Ziwa
Neema John Magoso

Bi. Neema John Magoso

Meneja Mkuu (Mwanza)

Inua Jamii, Tunza Kesho

Ungana Nasi Kuleta Mabadiliko

Kila mchango wako una nguvu ya kubadilisha maisha, kuwezesha jamii kiuchumi, na kulinda urithi wa mazingira yetu. Kuwa sehemu ya safari hii ya maendeleo leo.

Wasiliana Nasi

Je, una maswali, maoni au ungependa kushirikiana nasi? Timu yetu ipo tayari kusikia kutoka kwako wakati wowote.

Jengo la Cana Plaza, Dodoma Mjini | S.L.P 1249

Tuma Ujumbe wa Haraka